Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live

Jeuri ya kocha wa Ruvu Shooting chanzo hiki hapa

$
0
0
MAANDALIZI  ya   Ruvu Shooting  yamempa jeuri kocha wa kikosi hicho, Abdulmutik Haji ambaye anaamini wanauwezo  wa kumaliza ndani ya nafasi nne za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Programu ya kugundua viwavi jeshi yazinduliwa Uganda

$
0
0
Wakulima nchini Uganda wanaungana na wenzao katika mataifa yaliyo kusini mwa jangwa la sahara kutumia mbinu za kugundua mapema mashambulizi ya viwavi jeshi, mdudu mharibifu wa mimea ambaye amekuwa msumbufu tangu mwaka 2016.

Italy's populists dismissed Genoa bridge fears as 'fairytale'

$
0
0
Italy's Five Star Movement, now in government, claimed in 2013 that an imminent collapse was a "fairytale." Resignation calls in the wake of Genoa's bridge collapse are being resisted by road operator Autostrade.

Italy declares state of emergency after Genoa bridge collapse

$
0
0
Italian Prime Minister Giuseppe Conte has declared a 12-month state of emergency in Genoa after the collapse of the Morandi Bridge. The cause of the collapse remains unclear but several possibilities have been flagged.

Turkey frees local Amnesty head

$
0
0
Taner Kilic is charged with supporting a US-based cleric who Ankara blames for a failed coup in 2016. His arrest was one of several cases that have raised concerns over Turkey's human rights record.

Campsite owners risk charges in France as caretaker's body found

$
0
0
Confirmation of the German caretaker's death means the camp's owners could be prosecuted for involuntary homicide. A flash flood swept through the camp forcing the evacuation of more than a hundred children.

Kevin de Bruyne: Kiungo wa Man City aumia akifanya mazoezi

$
0
0
Nyota wa Manchester City Kevin de Bruyne anachunguzwa zaidi kwenye goti lake la kulia baada ya kuumia akishiriki mazoezi Jumatano.

UEFA Super Cup: Atletico Madrid wawashinda Real Madrid mechi yao ya kwanza bila Cristiano Ronaldo

$
0
0
Nyota wa zamani wa Chelsea Diego Costa alikuwa amewafungia Atletico mabao mawili muda wa kawaida, la kwanza sekunde 49 baada ya mechi kuanza na la pili kipindi cha pili.

Homosexual Afghan not 'gay enough' for asylum in Austria

$
0
0
A migration official said the introverted nature of the 18-year-old refugee was at odds with homosexuals "being rather social." The young man feared for his safety in Afghanistan, where homosexuality is illegal.

NEC YAITAKA MAREKANI KUTHIBITISHA MADAI YAKE KUHUSU UCHAGUZI MDOGO

$
0
0
Mwandishi Wetu, Dar es Salaam             |         Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imekanusha taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani kwamba katika uchaguzi mdogo uliofanyika Agosti 12, mwaka huu uligubikwa na vurugu na uvunjifu wa sheria. Aida, Tume pia imeutaka Ubalozi huo kuthibitisha wanachokieleza juu ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu na kata 36. Kwa mujibu wa taarifa ya NEC iliyotolewa na Ofisa Habari Mwandamizi wa tume hiyo, Christina Njovu, imesema Ubalozi huo umetoa taarifa inayotoa tuhuma dhidi ya Serikali, tume na Jeshi la Polisi kuwa sheria haikufuatwa na pia ulikuwa na vurugu katika uchaguzi huo. “Uchaguzi mdogo huwa hauna waangalizi wa Kimataifa, je Ubalozi huo umetoa wapi taarifa hizo? Na hayo waliyoyaona, wameyaona kwa kutumia utaratibu upi na sheria ipi? “Katika Jimbo la Buyungu mgombea wa Ubunge mmoja wapo kupitia Chadema alijitokeza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na kueleza hisia zake na kusema bayana kuwa amekubaliana na matokeo, na ameshukuru kwa kuwa Uchaguzi huo umemjenga. “Kilichotokea Arusha ni vurugu mitaani mbali na maeneo ya vituo vya kupigia kura, kwa kuwa vurugu hizo zilipelekea jinai kufanyika mbo husika vinashughulikia. “Aidha, tume inapenda kuufahamisha umma kuwa Tanzania ni nchi huru na inaendesha chaguzi zake kwa mujibu wa Katiba yake na Sheria za Uchaguzi. Kama kuna ambaye hajaridhika bado sheria za nchi zinampa fursa ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye mamlaka mbalimbali zilizopo,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Serengeti Boys wanamikwara hao!

$
0
0
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Boys’, Oscar Milambo, amefichua kuwa anayatumia mashindano ya kufuzu kwa fainali za Afrika kwa vijana wa umri huo Afcon 2019, kuwatengeneza vijana wake kisaikolojia.

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 16.08.2018: De Bruyne, Paul Pogba, Mourinho, Gervinho, Ospina

$
0
0
Parma wanakaribia kumnunua mshambuliaji wa Ivory Coast mwenye miaka 31 Gervinho kutoka klabu ya Hebei Fortune ya China wanapojiandaa kurejea kucheza katika Serie A.

UEFA Super Cup: Atletico Madrid wawashinda Real Madrid 4-2 mechi yao ya kwanza bila Cristiano Ronaldo

$
0
0
Nyota wa zamani wa Chelsea Diego Costa alikuwa amewafungia Atletico mabao mawili muda wa kawaida, la kwanza sekunde 49 baada ya mechi kuanza na la pili kipindi cha pili.

New City Rising in Senegal Aims to Ease Capital's Congestion

$
0
0
What can a country do when its capital city becomes so crowded it is almost unlivable? One possibility: Build a new city. That is what Senegal is doing, with Diamniadio, an urban project a short drive east of Dakar. Launched in 2014, it will have housing, green spaces, administrative districts, industrial zones, universities, research centers and sports facilities. It aims to be a smart city and an economic hub. But it has its critics. VOA French to Africa's Jacques Aristide reports from Dakar.

22 Uncomfortable Signs You’re Challenging Yourself On A Daily Basis

$
0
0
You pretty much have no idea what you’re doing, every single day. Because on a near-daily basis, you are doing something new or trying something outside of your wheelhouse.    You’re constantly surrounding yourself with people who are smarter than you, more talented than you, more developed in their skill than you, etc. You’re not satisfied unless you’re feeling constantly inspired to be better by those around you. You have a growth mindset, as opposed to a fixed mindset. Get yourself right by reading 300+ Top Inspirational Quotes & Quote Pictures | Quote Catalog You have learned that feeling unsure of yourself means you are doing something to get better or improve yourself, so rather than running away from this kind of feeling, you run towards it. You are out of your comfort zone ten times as often as you are in it. You consistently ask mentors and superiors for feedback, even if (and especially when) you know it will come with intimidating or uncomfortable criticism. You make decisions based on what will be most beneficial for you in the long-term, as opposed to what feels best or easiest right now. You are accustomed to doing things you don’t feel fully prepared for, and you have gotten comfortable with simply trusting that you’ll figure it out along the way. You pay very close attention to when you are actively forcing yourself to engage in much-needed relaxation, and when you are simply procrastinating. You know how to fail, and you fail often. And instead of this failure destroying you, it just fuels you to keep going. It may slow you down for a while, or bum you out, or even break your heart. But failure never stops you from trying again. No matter how hard it hurts or how much pain it causes, you still manage to look at failure as a learning opportunity – as a way for you to further get to know yourself, understand yourself, and understand how this will make you better and stronger next time. You have specific goals for yourself every single day, no matter how small or trivial they may feel in the moment. You find familiarity easy and comforting, but never invigorating. You are not afraid of admitting when you don’t know something. In fact, you are quite comfortable with it, because you know it brings you one step closer to learning something new or becoming just a little bit better. You do your best to be very conscious of and wary of criticizing or gossiping about others – because you know it usually means you’re projecting something you’re insecure about within yourself. You are way more afraid of plateauing than you are of failing. In your mind, ‘good enough’ is no different than ‘not good enough.’ You are never satisfied with ‘good enough.’ You try every single day to find happiness in little present moments, because you’ve learned that there’s never going to be a moment when you simply reach your destination and no longer need to grow. You are very much okay with talking about those things you need to improve on. And being okay with it doesn’t mean you like talking about your shortcomings, it just means you know how to address them in a healthy and productive way. You ask yourself the hard questions – does this matter in the long run? am I just trying to take the easy way out? will this be a temporary distraction or will this actually make me better? does this challenge me? does being challenged by this bring me joy? You have found that you’ve grown to love the process just as much as (or even more than) the outcome. The post 22 Uncomfortable Signs You’re Challenging Yourself On A Daily Basis appeared first on Business Times.

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Yakabidhi Msaada wa Vitanda na Vifaa Vya Usafi Kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja Kuadhimisha Miaka 20 ya Mfuko Huo Tangu kuanzishwa Kwake Zanzibar.

$
0
0
MKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (zssf) Bi. Sabra Issa Machano kulia akimkabidhi msaada wa Vifaa vya Usafi Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said Suleima (katikati) na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi. Halima Maulid, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Hospitali ya Wazazi Mnazi mmoja Zanzibar, ikiwa na sherehe za kutimia miaka 20 ya ZSSFMKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhui ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Sabra Issa Machano (kulia) akimkabidhi mashuka Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said Suleiman , ZSSF imekabidhi vitanda 13 na mashuka yake na vifaa vya usafi kwa hospitali hiyo ikiwa ni maadhimisho ya miaka 20 ya kuazishwa kwa mfuko huo, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Hospitali hiyo Mnazi Mmoja Zanzibar

Philip Kapneck Cuts Another Ribbon

$
0
0
Philip Kapneck, the Maryland Trade Ambassador, reintroduced ribbon cutting ceremonies to Maryland businesses in 1976. This was documented in the NewsBlaze story, Ambassador Kapneck’s Ribbon Cutting Creates Celebration. So many ribbons were cut, celebrating the opening of new businesses in Maryland, that “Philip Kapneck” and “Ribbon Cutting” are still often mentioned in the same breath. Maryland companies large and small love the symbolism of the special event to celebrate their effort. Ribbon cutting ceremonies were Ambassador Philip Kapneck’s trademark in the Maryland business world. Ribbon cuttings introduce companies and people to a new area. This is good for the new business and existing business are introduced to the new owners who can learn about introducing their customers to a non-competitive business. Even in difficult times, the Maryland Department of Business and Economic Development, and Trade Ambassador Philip Kapneck, brought great results. In 2009-2010, 14 foreign-owned companies with up to 250 new jobs started up through Maryland’s efforts. An additional 225 new jobs came from US companies that moved, expanded, or set up in the State. One of those ribbon cuttings was held at the University of Maryland, in College Park, MD. The Ribbon Cutting Ceremony was held at the Capital One Field at Byrd Stadium, to celebrate the new luxury in-seat delivery service at Capital One Field at Byrd Stadium. The venture was set up to create hundreds of local jobs. At that Ribbon Cutting ceremony, Michael T. Jobe, President & CEO of First Down Mobile, LLC celebrated with Philip Kapneck, Maryland Trade Ambassador; Robert Walker, Assistant Secretary of Business and Economic Development for the State of Maryland; Stanley Goldstein and former President of the University of Maryland Terrapin Club. Now, in places all over the USA, Chambers of Commerce use ribbon cuttings for many purposes, including to give new businesses a kickstart. The Chambers leverage off the ideas Philip Kapneck pioneered more than 40 years ago. In the past few months, among many others, there were ribbon-cutting ceremonies for Weis Markets supermarket in Baltimore’s Fullerton Plaza shopping center, AHF Wellness Center in Temple Hills, The Fannie Angelos Cell Therapy Lab at UMD, Anne Arundel Dermatology in Westminster, and the St. Mary’s County Airport technology incubator. The post Philip Kapneck Cuts Another Ribbon appeared first on Business Times.

Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Iyena (Official Music Video)

Diamond Platnumz Ft Rayvanny – Iyena

$
0
0
Image: Embed Code: Listen to Diamond Platnumz Ft Rayvanny _ Iyena byTheChoice Tanzania on hearthis.at

Habari mbalimbali kwa ufupi

Viewing all 132783 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>