Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

VIDEO: Jibu la Drogba kwa nini anaifunga Arsenal kila mechi

$
0
0
Mshambuliji wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Chelsea ya England Didier Drogba, ameendeleza rekodi yake ya kuifunga Arsenal katika kila mchezo anaocheza dhidi yao, Drogba amecheza dhidi ya Arsenal mara 16 na kufunga mara zote, katika mashindano sita tofauti na viwanja vitano tofauti. Drogba ameingia kwenye headlines baada ya kuifunga tena Arsenal […] The post VIDEO: Jibu la Drogba kwa nini anaifunga Arsenal kila mechi appeared first on millardayo.com.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>