Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Dau nono lampeleka Victor Wanyama Ubelgiji

$
0
0
KLABU ya Brugge ya Ubelgiji imemalizana na Tottenham Hotspur na kumchukua kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama, 28, ambaye sasa atakuwa mmoja kati ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi Ubelgiji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles