Takribani watu 100 wameandamana jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ubalozi wa Afrika Kusini wakishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayozuiliwa jijini Johannesburg.
↧