Moto uliozuka kwenye kilabu moja katika mji ulio kaskazini mwa Ufaransa wa Rousen wakati wa sherehe ya siku ya kuzaliwa ulisababisha vifo vya karibu watu 13 na kuwajeruhi wengine sita.
↧