IMEELEZWA kuwa upungufu wa majengo ya kutolea tiba pamoja na vyumba vya kulaza wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Mbozi ni miongoni mwa mambo yanayochangia wagonjwa kulala wawili hadi watatu katika kitanda kimoja, anaandika Mwandishi Wetu. Kauli hiyo ilitolewa na Mbunge wa viti maalum (CCM) Juliana Shonza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa ...
↧