AZAM ndiyo timu tajiri zaidi nchini. Ina uwanja wake mdogo wa kisasa, hosteli, gym na mabasi ya kisasa ya kubeba wachezaji. Kwa ufupi ni kwamba ina sifa zote za kuitwa timu ya soka.
↧