Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye amemaliza mkataba wake na klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic leo June 6 2016 ametangaza kupitia account zake za social network kuwa watu wakae tayari kwani June 7 2016 atatoa Big anaouncement. Tangazo hilo la Zlatan linatafsriwa kama ndio siku ambayo atatangaza klabu gani atakayojiunga nayo, […]
The post VideoFUPI: Kama unamfuatilia Zlatan na unataka kujua atajiunga timu gani? katoa tangazo hili appeared first on MillardAyo.Com.
↧