FESTO Mgina, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ameshangazwa na ‘ukurupukaji’ wa Serikali kutaka kuhamia katika Mkoa wa Dodoma pasipo kufanya maandalizi ya msingi, anaandika Charles William. Mgina ambaye pia ni Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Mninga, Wilaya ya Mufindi inayojumuisha majimbo ya Mufindi Kaskazini, Mufindi Kusini na ...
↧