$ 0 0 Wakuu wa jeshi la Polisi nchini Kenya na Uganda wamezuru kisiwa cha Migingo kinachowaniwa na nchi hizo mbili katika Ziwa Victoria.