Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Waziri John Kerry awasili Nairobi

$
0
0
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, John Kerry, yupo Nairobi, Kenya, kwa ziara ya kikazi ya kudumisha amani. Bwana Kerry atafanya mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa Afrika Mashariki juu ya  namna  ya kuizuia nchi ya jirani ya Sudan Kusini kutumbukia tena kwenye  vita ya wenyewe kwa wenyewe. Anategemea kukutana na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kabla ya kujiunga na mawaziri hao kwa mazungumzo ya namna ya kuhakikisha amani inadumishwa katika taifa hilo jipya kabisa...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>