Hoteli mbili za kitalii za Mount Meru na Snow Crest za mkoani hapa zimetangazwa kuuzwa kutokana na kuongezeka gharama za uendeshaji huku moja ikielezwa kushindwa kulipa stahili za wafanyakazi.
↧