Busega. Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu, Tano Mwera amesema kuna baadhi ya watumishi wamehusika na usambazaji wa pembejeo, lakini hazikuwafikia wananchi licha ya vocha kusainiwa na kupelekwa maeneo husika.
↧