Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mkoani humo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 10 na wengine kujeruhiwa.
↧