Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Wadai Yanga, Azam, Simba zinabebwa

$
0
0
Baadhi ya makocha wa klabu za Ligi Kuu Bara wamelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi Kuu nchini (TPLB) kuzipendelea Simba, Yanga na Azam katika upangaji wa ratiba ya ligi hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783