Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

LAVALAVA KAFUNGUKA “JAMANI KAMA KUNA MWANAMKE MZURI AJE MIMI NIPO SINGLE”

$
0
0
Msanii kutokea kundi la WCB Lavalava amezungumza kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na Ayo TV ambapo alipoulizwa kama ana mpenzi na kwa nini hajawahi kumuweka hadharani haya yalikuwa majibu yake, “hilo swali ninaulizwa mara sabini na watu jamani kama kuna mwanamke mzuri ananiona aje mimi nipo single sina wakumtangaza” Pamoja na hayo amezungumzia masuala ya upendeleo yanayodaiwa […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>