Leo October 8 2016 chama cha ACT Wazalendo kimefanya mkutano mkuu wa kidemokrasia katika ukumbi wa makumbusho ya Taifa Posta Jijini Dar es salaam. Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewasilisha hotuba yake ya ufunguzi na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu hali ya nchi kwa mtazamo wa chama. Katika hotuba yake hiyo Zitto Kabwe ameizungumzia […]
The post VIDEO: Mapendekezo ya Zitto Kabwe kuhusu kuboresha suala la Elimu nchini appeared first on millardayo.com.
↧