TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza, imemtia nguvuni Felister Mawe kwa tuhuma za kujifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huku akiomba rushwa, anaandika Moses Mseti. Ernest Makale, Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Mwanza, ametoa taarifa hiyo leo asubuhi alipozungumza na wanahabari ambapo ameeleza kuwa, Mawe alikamatwa baada ya kuomba ...
↧