Mtandao wa wabunge wanawake wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wamesema wamejipanga kuishinikiza Serikali kuharakisha mchakato wa kubadilisha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kifungu cha 13 na 17 kinachoruhusu mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18. Msimamo huo umetolewa leo February 4, 2018 wakati wakizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo iliyoandaliwa […]
↧