CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni vyuo ambavyo serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu hapa nchini (HESLB) inatarajia kuvinyima baadhi ya fedha za ada za wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/2017, anaandika Charles William. Uamuzi wa kuvinyima fedha vyuo hivyo utachukuliwa ili kufidia upotevu ...
↧