MJUMBE wa baraza la wawakilishi nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba Mhe: Zulfa Mmaka Omar, akiwa kwenye usafi maalum wa hospitali ya Chakechake, kabla ya kuitembelea na kaikagua na kuwapa zawadi watoto waliolazwa hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba). MJUMBE wa baraza la wawakilishi Zanzibar nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba Mhe: Zulfa Mmaka Omar, akiwakabidhi wazazi wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Chakechake, ambapo kabla alishirikiana na vijana kadhaa, katika usafi wa kimazingira hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba). MJUMBE wa baraza la wawakilishi Zanzibar nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba Mhe: Zulfa Mmaka Omar, akiwakabidhi wazazi wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Chakechake, ambapo kabla alishirikiana na vijana kadhaa, katika usafi wa kimazingira hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba). MJUMBE wa baraza la wawakilishi Zanzibar nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba Mhe: Zulfa Mmaka Omar, akiwakabidhi wazazi wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Chakechake, ambapo kabla alishirikiana na vijana kadhaa, katika usafi wa kimazingira hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba). DAKTARI dhamana wa hospitali ya Chakechake Pemba Ali Habib, akitoa neno la shukuran kwa mjumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba, Mhe: Zulfa Mmaka Omar, mara baada ya kufanya kazi ya usafi hospitalini hapo na kuwapa zawdi watoto waliolazwa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
↧