Aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Bunda Mjini, Lucy Msoffe jana alikuwa kwenye wakati mgumu upande wa wadai ulipombana kutaka maelezo ya idadi halisi ya kura zilizoharibika.
↧