Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini Moja ya story kubwa June 02 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘Kina Zitto , Lissu, Mdee kukatwa mshahara, posho’, gazeti hilo limeripoti kuwa wabunge saba […]
The post Baada ya wabunge saba wa upinzani kusimamishwa sasa kukumbana na kibano kingine appeared first on MillardAyo.Com.
↧