Moja ya headline iliyotoa nafasi bungeni ni pamoja na hii ya mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega kuamua kumpa mtoto wake jina la ‘Tulia’ ikiwa ni ishara ya kukubali uwezo wa naibu spika Dk. Tulia Ackson. Ulega amesema…>>>’Mke wangu mwaka jana alipoteza mtoto wa umri wa miezi tisa, mwaka wa majuzi pia alipoteza mtoto wa miezi […]
The post VIDEO: Mbunge Ulega kampa mtoto wake jina la naibu spika ‘Tulia’ appeared first on MillardAyo.Com.
↧