Mkongwe wa Soka England, Gary Nevile amesema kwamba ushindi wa timu hiyo kwenye mchezo wa kwanza fainali za Kombe la Dunia jana umekuwa muhimu kwa kikosi hicho.
↧