Timu za Tanzania chini ya miaka 18 kwa wanaume na wanawake kwenye mchezo wa mpira wa kikapu zimeingia vitani kuwania ticketi za kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika 'Afrobasketi' mwishoni mwa mwaka huu.
↧