Michezo goroli, rede, kuruka kamba, kurusha vishada itapamba mahadhimisho ya miaka 124 ya Kamati ya Olimpiki duniani (IOC) iliyopangwa kufanyika kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi hii.
↧