Mkuu wa Wilaya ya Wete -Pemba, Abeid Juma Ali, akiwahutubia Wanachama wa Vyama vya Ushirika na Saccos Kisiwani Pemba, katika maadhimisho ya Siku ya Washirika Duniani iliofanyika katika ukumbi wa Samael Gombani Pemba.Baadhi ya Wanaushirika na Saccos za Pemba, wakimskiliza Mkuu wa Wilayaya Wete, Abeid Juma Ali, wakati akitowa hotuba yake katika shamrashamra za siku ya Washirika Duniani ilio fanyika katika ukumbi waSamael Gombani Pemba.Baadhi ya Wanaushirika na Saccos za Pemba, wakimskiliza Mkuu wa Wilayaya Wete, Abeid Juma Ali, wakati akitowa hotuba yake katika shamrashamra za siku ya Washirika Duniani ilio fanyika katika ukumbi waSamael Gombani Pemba.Picha na Bakari Mussa -Pemba.
↧