Taarifa kutoka nchini Russia, zinasema kuwa, Shirikisho la soka duniani, FIFA, limeanzisha uchunguzi dhidi ya beki wa Croatia, Domagoj Vida, kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya wachezaji wa Urusi, baada ya mechi iliyokutanisha timu hizo jana.
↧