$ 0 0 Timu hizo zinakutana mjini Moscow kushindania nafasi ya fainali ya terehe 15 Julai baada ya upande wa Dalic kuwatimua Urusi siku ya Jumamosi.