Serikali ya Tanzania na Misri jana zimesaini mkataba wa ujenzi wa mradi wa umeme utakaozalishwa Mto Rufiji katika bonde la Stiegler Gorge huku viongozi wa dini 13 wakisimama na kuombea mradi huo
↧