WIKI iliyopita tulianza simulizi la straika wa zamani wa RTC Rukwa na Ndovu FC ya Arusha, Feruzi Juma ambapo alifichua jinsi ilivyobakia kidogo tu atue Msimbazi, kujiunga na Simba kwa mchongo uliokuwa ukifanywa na Zamoyoni Mogella.
↧