Kipigo chama la Ali Kiba chamuibua kocha Biashara United
Kocha wa Biashara United,Hitimana Thiery amesema kuwa licha ya kufanyiwa figisu na waamuzi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu juzi dhidi ya Coastal Union kwa kukataa bao lao hawakati tamaa badala yake...
View ArticleMWENYEKITI HALMASHAURI IGUNGA AKAMATWA KWA AGIZO LA MAJALIWA
Na MURUGWA THOMAS -TABORA MWENYEKTI wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Peter Onesmo na Ofisa Kilimo, Josea Bwenda, wanashikiliwa na polisi kwa agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,...
View ArticleJANUARY: WANAOHARIBU MAZINGIRA NZEGA WAKAMATWE
MAZINGIRA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba, akipanda mti kuunga mkono jitihada za upandaji miti kwa wakazi wa Kijiji cha Nkiniziwa, Wilaya ya Nzega...
View ArticleSaratani ya ubongo yamuua mpinzani wa Obama
Ugonjwa wa saratani ‘kansa’ umehitimisha maisha ya Seneta John McCain, shujaa wa vita vya Vietnam ambaye pia aliwahi kuwania urais kipindi cha Barack Obama.
View ArticleMbao FC atuma salamu timu vigogo Ligi Kuu
Baada ya kufunga bao lake la kwanza la Ligi Kuu, Straika wa Mbao FC, Evaligestus Mujwahuki ametamka wazi kuwa sasa kazi imeanza kwake ambapo amesema amejipanga kila mechi atakayocheza lazima atupie...
View ArticleUCHAGUZI SIMBA WAZIDI KUNOGA
NA CLARA ALPHONCE WANACHAMA wa Simba wenye vigezo vya kuongoza Klabu hiyo wanatakiwa kujiweka sawa kwani Kamati yao ya Uchaguzi inatarajiwa kukutana leo ili kuweka mambo sawa kwa ajili ya kuanza zoezi...
View ArticleBONGO STAR SEARCH IMERUDI UPYA
NA JESSCA NANGAWE LILE shindano la kusaka vipaji vya muziki nchini Bongo Star Search (BSS)linarudi upya kwa kishindo baada ya kushindwa kufanyika mwaka uliopita. Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark,...
View ArticleSpider mambo magumu kikapu Mwanza
Spider imeendelea kudhohofishwa kwenye Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza baada ya juzi kuangushiwa kipondo cha pointi 67-52 dhidi ya Cuhas kwenye mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mirongo Jijini hapa.
View ArticleZimbabwe election: Mnangagwa sworn in as dispute continues
His inauguration comes a day after his main rival rejected a court ruling upholding the result.
View ArticleA Subdued Zimbabwe Inaugurates Mnangagwa Again
Zimbabwe on Sunday inaugurated a president for the second time in nine months as a country recently jubilant over the fall of longtime leader Robert Mugabe is now largely subdued by renewed harassment...
View ArticleJaji kesi ya bilionea Msuya atishiwa kuuawa
Jaji Salma Maghimbi aliyesikiliza kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya na kuwahukumu adhabu ya kifo washitakiwa watano, ametishiwa kuuawa na mtu asiyejulikana.
View ArticleCavani, Mbappe, Neymar wanatingisha Ufaransa
Safu ya ushambuliaji ya Paris St-Germain, inayoundwa na Edinson Cavani, Kylian Mbappé na Neymar, inaonekana itakuwa moto wa kuotea mbali msimu huu.
View ArticleMichael Owen azichukia siku zake za mwisho
Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Liverpool na England, Michael Owen, amesema anazichukia siku zake za mwisho za uchezaji soka na hapendi hata kuzikumbuka
View ArticleChelsea yavunja mwiko, Sarri akiduwaa
Timu ya Chelsea jana ilifanikiwa kuvunja mwiko wa kutoifunga Newcastle United katika mechi za Jumapili kwenye dimba la St James' Park, jijini London.
View ArticleSamatta anafunga hadi aibu Ubelgiji
Hilo ni bao la nne kwa Samatta kufunga wiki hii baada ya kufunga matatu Alhamisi iliyopita katika mchezo wa Europa Ligi
View ArticleBobi Wine: Wakili wa mbunge na mwanasiasa 'azuiwa kuingia Uganda'
Wakili wa kimataifa aliyekuwa amepewa kazi ya kumwakilisha mbunge wa Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amezuiwa kuingia nchini humo.
View ArticleBOW WOW ADAI ANATENGWA
CALFORNIA, MAREKANI RAPA Shad Moss, maarufu kwa jina la Bow Wow, ametumia ukurasa wake wa Twitter na kudai kwamba, amekuwa mmoja kati ya wasanii ambao wanatengwa na kuchukiwa. Staa huyo ambaye alianza...
View ArticleUN: Myanmar army chiefs should face genocide trial
The UN said crimes committed against Rohingya Muslims in Rakhine State amount to the gravest crimes under international law. The report has used some of the strongest language yet on the military...
View ArticlePapa Francis atakiwa kujiuzuru
CARLO Maria Vigano, Mjumbe wa zamani wa Vatican amemtaka Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani kujiuzulu kufuatia kadhia inayoliandama kanisa hilo ya mapadri wake kutuhumiwa kuwafanyia...
View ArticleLugola amweka ndani Mkuu wa kituo cha Polisi
KANGI Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amemuweka ndani Ibrahim Mhando, Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Kati mjini Mtwara (OCS) kwa kosa la kutowaweka mahabusu watu wanne wanaotuhumiwa kumpa...
View Article