Mo Dewji: Tajiri mkubwa Afrika Mashariki atekwa Dar es Salaam
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza kuwa mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Mo Dewji ametekwa leo alfajiri
View ArticleBreaking News: Mo Dewji Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana....Zitto Kabwe,...
Mfanyabiashara maarufu , Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterbay Dar es...
View ArticleBreaking News: Mbunge wa Ukerewe, Joseph Michael Mkundi Kajiuzulu Ubunge...
Mbunge wa Ukerewe, Joseph Michael Mkundi ametangaza kujiuzulu uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya CHADEMA, na kuomba kujiunga CCM.Miongoni mwa sababu alizotoa, ni kutopata ushirikiano kutoka kwa...
View ArticleMV Nyerere yamng’oa Mbunge wa Chadema Ukerewe
MBUNGE wa Ukerewe mkoani Mwanza, Joseph Mkundi amejiuzulu wadhifa huo pamoja na uanachama wa chama cha Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mkundi amejiuzulu wadhifa huo kupitia barua yake...
View ArticleDon’t hide generic drugs’ names, medics told
Medical practitioners in public hospitals have been urged to stick to the national treatment guidelines and ensure they prescribe medicine to patients using generic names and not brand (trade) names.
View ArticleMbunge wa Chadema Ukerewe atimkia CCM
Mbunge wa Ukerewe (Chadema), Joseph Mkundi amejivua uanachama na nyadhifa zake zote na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
View ArticleMakonda: Marufuku mwendokasi kuacha abiria vituoni
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ni marufuku kwa dereva yeyote wa mabasi yaendayo kasi kuacha abiria vituoni.
View ArticleMambosasa asema waliomteka Mo Dewji ni Wazungu
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amezungumzia tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji kuwa waliomteka ni Wazungu na watu watatu wanashikiliwa kwa mahojiano
View ArticleZitto, Makamba na Bashe wazungumzia kutekwa kwa Mo Dewji
Wabunge Zitto Kabwe (Kigoma Mjini), Hussein Bashe (Nzega Mjini) na January Makamba (Bumbuli) wamezungumzia tukio la kutwa kwa mfanyabiashara maarufu Tanzania Mohammed Dewji
View ArticleUPDATES: RPC Lazaro Mambosasa Asema waliomteka mfanya biashara Mohamed Dewji...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa amesema msako mkubwa unafanywa kwa raia wa kigeni wote waliopo nchini kufuatia kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji Mambosasa amesema kwamba...
View ArticleButiku: Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani
Asema Taasisi ya Mwalimu Nyerere imekutana na viongozi wakuu wa Serikali, wa dini, vyama vya siasa kujadili njia ya kutatua hali hiyo ANDREW MSECHU na LATH MBONEA – dar es salaam MWENYEKITI wa Wakfu...
View Article‘VIONGOZI WENGI WAOGA’
NA MWANDISHI WETU Mwenendo wa baadhi ya viongozi hasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya na wakurugenzi kutishia, kuadhibu na wakati mwingine kuwaweka ndani baadhi ya wananchi, wanasiasa na hata watendaji wa...
View ArticleTuikumbuke kesho tuliyoisahau kwa Goli la Ajib
Jana ambayo ilitengenezwa na juzi mbovu, juzi ambayo hatukuruhusu akili zetu kuwaza vyema. Hatukuipa nafasi akili yetu kufikiria maisha ya baadaye ndiyo maana jana tuliishi kwenye nyumba mbaya na leo...
View ArticleMO Dewji adaiwa kutekwa alfajiri ya leo
MFANYABIASHARA Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterbay Dar es salaam....
View ArticleYANGA WAJIZATITI KILA KONA
NA HUSSEIN OMAR *Wakimbilia Zenji kupata baraka za wazee wao *Lengo ni kuhakikisha wanauendeleza moto wao Ligi Kuu Bara KATIKA kuonyesha jinsi walivyopania kuwaumbua Simba waliokuwa wakitambia usajili...
View ArticleMakonda: Kuna uwezekano waliomteka Mo wamepewa ushirikiano na Watanzania
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema Jeshi la Polisi litafanya kazi usiku na mchana kuwasaka watekaji hao.
View ArticleWazungu wawili wadaiwa kumteka Mo Dewji
Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam, Mambosasa amesema mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ ametekwa na wazungu wawili.
View ArticleRC Makonda Afunguka Tukio la kutekwa Mo Dewji
Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amezungumza akiwa eneo la tukio ambalo leo October 11, 2018 Mfanyabiashara maarufu nchini MO Dewji ametekwa akiwa anaingia Gym alfajiri.Amesema tayari upekuzi...
View ArticleACACIA yaeleza ongezeko uzalishaji wa dhahabu
Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM KAMPUNI ya uchimbaji madini ya ACACIA imesema imepata mafanikio katika uzalishaji wa dhahabu kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka. Taarifa iliyotolewa na Ofisa Mtendaji...
View ArticleCRDB yaeleza sababu ya Kimei kung’atuka kabla ya muda
Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB imeeleza sababu za kumpumzisha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei, kabla ya muda wake kumalizika....
View Article