RAIS John Magufuli amesema hatavumilia aina yoyote ya vitendo vya uvunjifu wa amani kwa sababu amekula kiapo cha kulinda amani na utulivu kwa maslahi ya wananchi wa Tanzania, hivyo katika kipindi cha uongozi wake wa miaka mitano atahakikisha kipaumbele cha kulinda amani na kuimarisha Muungano ndiyo dira na mwongozo.
↧
Sitavumilia chokochoko – Magufuli
↧
Wanawake waongoza utoroshaji dhahabu, tanzanite
SERIKALI imebaini kuwa asilimia kubwa ya madini aina ya tanzanite na dhahabu yanatoroshwa nchini na wanawake ambao huyavaa kwenye maeneo tofauti mwilini na kusema ni mapambo hivyo wanapopita kwenye mashine za ukaguzi katika viwanja vya ndege huwa vigumu kubaini kama ni utoroshaji.
↧
↧
SMZ yaridhishwa utendaji wa Magufuli
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeridhishwa na utendaji kazi wa Rais wa Muungano, John Magufuli katika kuimarisha Muungano kwa maslahi ya wananchi wa pande mbili.
↧
Mjane auawa, anyofolewa viungo
MJANE mwenye umri wa miaka 46, Veronica Dala ameuawa na watu wasiofahamika kwa kukatwa na mapanga mwilini. Aidha mjane huyo amenyofolewa baadhi ya viungo vya mwili wake.
↧
BAADA YA NGASA KUTUA BONGO ATARUHUSIWA KUSAJILIWA IKIWA DIRISHA LA USAJILI LIMEFUNGWA?
Baada ya Mrisho Ngasa kukanyaga ardhi ya Tanzania maswali kwa wadau wa soka yamekuwa ni kutaka kujua kama mchezaji huyo wa zamani wa Yanga ataruhusiwa kujiunga na klabu yoyote itakayomuhitaji.
Sports Extra ya Clouds ilimtafuta afisa habari wa TFF Alfred Lucas ili kujua taratibu na kanuni zikoje endapo kama kuna timu itataka kumsajili Ngasa kwa ajili ya michuano ya ligi kuu Tanzania bara lakini hata ikibidi mashindano ya kimataifa.
Lucas amesema Ngasa ananafasi ya kujiunga na timu yeyote itakayomuhitaji huku usajili huo ukitakiwa kufanywa kabla ya Septembre 6.
“Hata sisi tumeiona taarifa ya Ngasa kuwa hana mkataba tena na Free State Stars sasa kwa usajili wetu wa hapa nyumbani anaweza akapata nafasi kwasababu dirisha la usajili la FIFA linafungwa September 6 na hii lazima ieleweke vizuri sana, kilichofanya Yanga achelewe wakati ule ni usajili wa ndani kwa maana ya kwamba sisi TFF tulifungua usajili wa ndani kuanzia 15 June -16 August lakini kwa upande wa kimataifa dirisha linafungwa September 6”, Alfred Lucas alikaririwa na Clouds FM kupitia Sports Extra.
“Kwahiyo kama itatokea timu inamtaka kwasababu kama ameshapewa barua ya kuachwa kwaiyo inaweza ikamlinda kufdanyiwa usajili.”
Ngasa amerejea Tanzania September 3 akitokea South Africa ambapo alivunja mkataba wake na klabu ya Free State Stars inayoshiriki ligi kuu nchini humo.
Baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa jijini Dar, Ngasa hakuwa tayari kuzungumza lolote juu ya kuvunja mkataba na kurejea nyumbai badala yake akasema: “Nimerudi nyumbani kwa sasa imi ni mchezaji huru nimekuja kupumzika kidogo kisha nitasema nitaenda kucheza wapi.”
↧
↧
VOA Somali Town Hall: President Tells US Teen It's Safe to Visit
Answering a U.S. teenager's question about vacationing safely in Somalia, President Hassan Sheikh Mohamoud said, "You can come back to Mogadishu — nothing will happen to you."
Mohamoud answered questions about terrorism and the Somali diaspora in a town hall hosted by VOA's Somali service Saturday.
The program is the first of its kind to connect Mogadishu, the capital of Somalia, with St. Paul, Minnesota, home to the largest Somali community in the United States.
Extremism, unemployment, education
Both venues hosted crowds of Somali youth who asked the president questions on extremism, unemployment and education. The town hall was streamed live over the VOA Somali Facebook page.
Ayduruus Ahmed Abdirahman, a teenager starting high school this fall in Minneapolis, asked the president in English how he would make the country safer so that kids such as himself would be able to return to their parents' homeland for vacations.
"We’re tired of going to Ohio or Seattle for vacations when we have so many beautiful cities back home. But we hear about things blowing up there every day," Ahmed said. "How can you convince our parents that want to bring us home for vacations that safety isn’t a concern?"
The boy's question was met with applause.
"I assure for all Somalis that the insecurity will be handled soon. We are after the terrorists. We are in war with terrorists, but you can back to Mogadishu and nothing will happen to you."
Terrorism around the world
Another participant asked if the government's policies have failed to protect Somalis.
The president staunchly said no, citing terrorist attacks around the world to prove that such violence can happen anywhere.
"I do not believe that our policy has failed," Mohamoud said, referencing "an extraordinary level of insecurity" around the world.
"Things that are happening in Mogadishu happen in Paris, Turkey and other major cities in the world. ... We did our best," he added.
Somalia's ongoing civil war has displaced thousands of people and crippled its economy.
The government continues to struggle to end attacks by the al-Qaida-affiliated terrorist group al-Shabab.
Some observers have said Somalis turn to extremist groups because they face difficulties in finding jobs.
In Minnesota, men and women with ties to the Twin Cities, as Minneapolis and nearby St. Paul are referred to, have traveled to Syria to fight for the Islamic State terror group.
Travel to Syria
More than a dozen others have attempted to travel to Syria before authorities intercepted them. Since 2007, at least 23 young men from the Twin Cities have left for Somalia, allegedly to take up arms and join al-Shabab, a ruthless and radical Islamic militia vying to topple Somalia's U.S.-recognized government.
Mohamed Dahir in Mogadishu said young people are joining terrorists because Mohamoud "does not give them a chance to represent themselves in the government institutions." He asked if the president took responsibility for failing Somali youth.
“I take the responsibility of whatever relates to my responsibility, but I have also got the credit of what I did," the president said. "Four years ago, when I was coming to office, the terrorists were threatening the government, and now you see our army is hunting [them] down in their remote hideouts.
"I know they keep carrying out attacks, but that is because of the good security job we did. They are desperate and they want to show the world that they are alive," he said.
Abdiwahid Qalinle, a lawyer and member of Somali community in Minneapolis, said, "Extremism and recruiting is not a Somali community problem, it is a Muslim and minority problem.
"And the young people are recruited from the internet by extremists who want to reach the young Muslims in the West," Qalinle said. "Mosques play a role in saving the young Somalis in Minnesota. They help them stay away from crime" and help keep them in schools.
“Most of those recruited were not exactly connected to the mosques. They were either ignorant of the religion or had little knowledge," he added.
Positive things in community
However, Hodan Hello, a psychotherapist in St. Paul and a panelist at the town hall, stressed that many positive things are happening in the community as well.
"We do not have only negative things," Hello said. "We have successful young people who are lawyers, doctors and some who joined politicians. Extremism and crime are only a tiny part of our major challenges as a community."
The town hall meeting was being aired live on Somali National Television and broadcast on Radio Mogadishu, Kulmiye Radio, and other stations throughout the region.
In addition to hosting such town halls, VOA Somali produces programming for Somalia’s youth.
Just recently, the service began a 30-minute daily radio program for young listeners, providing a new platform for exploring social issues and getting the latest news along with music and technology features.
↧
Yanga yaipania Ndanda
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm, amejigamba kuwa kikosi chake kipo vizuri kuikabili Ndanda kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara utakaochezwa Uwanja wa Nang'wanda Sijaona Mtwara.
↧
Stars yatota Nigeria, Manula ang’ara
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ jana ilimaliza mechi zake za Kundi G kuwania kufuzu fainali za Afrika zitakazofanyika Gabon mwakani kwa kufungwa bao 1-0 na Nigeria ‘Super Eagles’.
↧
Mbeya City yaibamiza Mbao
TIMU ya Mbeya City ya Mbeya jana ilitoa kipigo cha mbwa mwizi kwa Mbao FC iliyopanda daraja baada ya kuichakaza kwa mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba hapa.
↧
↧
Simba yainyoosha Polisi Dodoma
TIMU ya soka ya Simba jana iliwapa raha mashabiki wake baada ya kuifunga Polisi Dodoma mabao 2-0.
↧
Biashara yadorora, wakumbuka Bunge la 10
Wafanyabiashara mjini hapa wamelalamikia kudorora kwa biashara ya vyakula tofauti na Bunge lililopita la 10.
↧
Investing in the youth to curb poverty
IN order to realise the opportunity of a demographic dividend, Tanzania must invest in its young people. Access to family planning for young people is key to enabling the requisite shift in the dependency ratio and to enabling them to plan and attain educational and career aspirations.
↧
Precarious balance in family planning and development
WHEN you talk about family planning to most Tanzanian men, a vivid picture of a heavily pregnant, tired looking woman with a toddler strapped on her back comes into mind.
↧
↧
Msalaba Mwekundu watinga kwa JPM
Wanachama wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) wamepanga kuishtaki bodi ya chama hicho kwa Rais John Magufuli, kwa madai ya kuuza sehemu ya jengo la Viva Tower na fedha za mauzo hayo kutumiwa kwa ubadhirifu.
↧
Makonda: ‘Naoga matusi’ kuhusu Bakwata
Zikiwa zinakaribia wiki tatu tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aahidi kujenga ofisi za kisasa za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), amesema uamuzi wake umezidi kuibua vita kutoka kwa watu wasiopenda maendeleo wakimshtumu kwa hatua hiyo.
↧
Bunge laikaanga TPA, TRA
Kamati ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira, imezishukia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kupungua kwa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam.
↧
Merkel defends record on regional election eve
Germany's Mecklenburg-West Pomerania regional election will be a "very tight race," Chancellor Angela Merkel has conceded. Surveys indicate that her local CDU could even be outpaced by the upstart anti-migrant AfD.
↧
↧
Mimba 51 zabainika madarasani
Wanafunzi 74 wamesimamishwa masomo katika shule mbalimbali za sekondari na msingi Manispaa ya Dodoma, kutokana na kupata mimba, huku Mkuu wa wilaya hiyo, Christina Mndeme akisema wametoa picha mbaya ya ujio wa makao makuu ya nchi.
↧
VIONGOZI TFF, VILABU, WALIPA KISOGO KONGAMANO LA SOKA DAR
Kongamano kwa ajili ya kujadili matatizo na maendeleo ya soka la Tanzania ambalo linafanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, limeanza leo katika uwanja wa taifa chini ya maandalizi ya Jukwaa la Kandanda
Jukwaa hilo limelenga katika kuimarisha misingi ya uendeshaji ya mchezo wa mpira wa miguu, leo ilikuwa ni siku ya kwanza ambapo limekuwa likitangazwa kwa muda wa juma zima, mambo mengi yamejadiliwa katika siku ya kwanza ikiwemo kufamu namna gani ya kuendesha vilabu vya soka pamoja na mpira wa miguu.
Kulikuwa na fursa kubwa ya kufahamu kuhusu leseni za vilabu na jinsi soka la Tanzania linavyoweza kuathirika endapo leseni za vilabu hazitokamilika hususan kwa vilabu ambavyo vinashiriki michuano ya kimataifa.
Jambo ambalo si lakupenda ni pale viongozi wa vilabu vya soka hasa vile vya ngazi za juu kushindwa kujitokeza kwenye jukwaa hilo kusikiliza au kujua ni kitu gani kinafanyika kwenye chukwaa hili.
Hata rais wa TFF Jamal Mlinzi hakuonekana kwenye jukwaa hilo huku kukiwa hakuna sababu iliyotolewa wakati kwenye ratiba jina lake lilikuwepo.
“Mimi nafikiri kikubwa ambacho kimeandaliwa kwa mara ya kwanza, tungependa iwe bora zaidi lakini bado tunaona kunamafanikio kwasababu tumepata watu kama 35 huku kukiwa na waandishi wa habari wa kutosha ambapo tunafikiri vitafikisha ujumbe kwa jamii”, amesema Henry Tandau mmoja wa waraibu wa kongamano hilo lakini pia alikuwa ndiyo mtoa mada.
Kuhusu kukosekana kwa viongozi muhimu wa vilabu Tandau alisema: “Mimi nafikiri hayo ni matatizo ya Tanzania kwa ujumla watu wengi katika Nyanja nyingi huwa hawako tayari kupewa mawazo au michango ya taamula, sasa hilo ni tatizo lakini sisi tuko hapa kutoa elimu siyo kwa vilabu tu bali kwa wote wanaojihusisha na mpira wa miguu.”
Kongamano hilo litaendelea tena kesho September 4 ambapo ndiyo itakuwa kilele chake.
↧
VOA Somali Town Hall Connects Minnesota and Mogadishu
President Hassan Sheikh Mohamoud answered questions about terrorism and the Somali diaspora in a town hall hosted by VOA's Somali service Saturday. The program is the first of its kind to connect Mogadishu, the capital of Somalia, with St. Paul, Minnesota, home to the largest Somali community in the United States.
↧