Wakati Shirika la habari la Reuters limemnukuu ofisa mwandamizi wa utawala wa Saudi Arabia akisema mwanahabari Jamal Khashoggi aliuawa kwa kukabwa koo, Fox News limemnukuu Waziri wa Mambo ya Nje, Adel al-Jubeir kwamba mauaji yake yalikuwa “kosa kubwa”.
↧
Mwandishi aliuawa kwa kukabwa koo, waziri ajutia kosa
↧
Jela miaka 60 kwa kumbaka mwanafunzi
Mahakama ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela Abrahamu Kaaya (23) mkazi wa kijiji cha Karansi wilayani Siha kwa makosa mawili ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Karansi.
↧
↧
Mkutano wa Vijana wa UVCCM Kumpigia Kampeni Mgombea Uwakilishi wa CCM Jimbo la Jangombe.Ndg. Ramadhan Hamza Chande.
↧
Italy defies EU, sticks to budget proposal
Italy's populist government is determined to stand by its plans to raise its already high deficit despite a formal warning from the EU. Rome has, however, promised to keep an eye on its sizable debt pile.
↧
Serikali yaja ya kibano cha AZAKI
SERIKALI imezikemea baadhi ya asasi za Kiraia ambazo zimekuwa zikitumia vibaya fedha za ruzuku zinazotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya maendeleo. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. John Jingu wakati wa Ufunguzi wa wiki ya Azaki iliyofanyika ...
↧
↧
Swala shelves Mauritius bond listing procedures
Swala Oil and Gas Tanzania PLC has stopped its bond listing process on the Stock Exchange of Mauritius (SEM) after receiving interest from private investors who may give the firm money it wanted.
↧
CRDB Bank, Acacia, KCB stocks end the week lower
CRDB Bank Plc, KBC Bank and Acacia shares prices closed last week down on Friday last week, when compared with the opening on Monday.
↧
OPINION: Water scarcity threat to Africa’s existence
As global weather patterns continue to shift and human population growth rates rise, water scarcity is fast becoming one of this century’s most complex challenges.
↧
OPINION: Igad Centre a guiding light in fighting violent extremism
Violent extremism is the greatest security threat of our time, and an existential threat to emerging democracies.
↧
↧
EDITORIAL: The culture warriors of social media
The news media in the Western world remain dominated by newspapers, magazines and broadcasters still known as the mainstream.
↧
EDITORIAL: Time to act on killer mines
After a brief lull, the safety of small-scale mines is once again in the news.
↧
EDITORIAL: It’s a step in the right direction on air safety
Reports that the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) is working on plans to make Tanzanian airspace safer for all-round aviation are very good news, indeed.
↧
Cheers all round for Mo’s return from captivity, but...
The safe return of billionaire Mohammed Dewji is good news, but Tanzania should strive to create an environment that assures investors and other development partners of their safety, members of the business community said on Sunday October 21.
↧
↧
No one entitled to Sh1bn Mo award
Nobody is entitled to the Sh1 billion award promised by the family of Mr Mohammed Dewji,who was released on Saturday after being abducted nine days earlier.
↧
Tanzania Education Minister Ndalichako reinstates 600 University of Dar es Salaam students
Over 600 students who had their selection cancelled by the University of Dar es Salaam (UDSM) Admissions Office due to overcapacity in some programmes have a reason to smile as Education, Science, Technology and Vocational Training minister Joyce Ndalichako has reinstated them.
↧
Uneducated but employed and well-paid
While an increasing number of Tanzanians are jostling for admission into university in the hope of living the “happily-ever-after” life that degrees supposedly offer at the end of it all, there is a group of employees quietly enjoying six-figure perks without ever walking in a primary school corridor for academic purposes.
↧
Eliuter Mpepo, ilikuwa kidogo tu aache soka
Mshambuliaji wa zamani Tanzania Prisons, Eliuter Mpepo ambaye kwa sasa ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Singida United na ni kutokana na uwezo wake wa kuwasumbua mabeki, kufunga na kutengeneza mabao.
↧
↧
Neville, Redknapp wamtolea uvivu Pogba
Manchester United imeshindwa kurejesha furaha kwa mashabiki wake, lakini Paul Pogba, amemtaja beki wa kati Victor Linderlof kuhusika na matokeo ya juzi usiku.
↧
Kifo kilivyokatisha ndoto ya Kaka kuirudisha Tukuyu Stars Ligi Kuu
“Aisee! Ninashindwa nianze wapi maana kila muda tulipokuwa katika maongezi na mume wagu alisisitiza kuwa akipona lazima airejeshe Tukuyu Stars Ligi Kuu Tanzania Bara”.
↧
Mabondia wanaoongoza kwa vituko ulingoni hawa hapa
Conor Mac Gregory alipopigika kwa mpinzani wake Khabib Nurmagomedov, siku 15 zilizopita, ukumbi ulinywea, lilikuwa pambano la simanzi kwa ‘team’ Mac Gregory wakiongozwa na msanii nguli, Drake, hawakutarajia kilichotokea.
↧