Mayanja amekuwa mchezaji mkongwe katika kikosi cha Lyon, baada ya kuwa miongoni mwa wachezaji wachache waliokaa katika kikosi hicho kwa muda mrefu.
↧
Mayanja ameizoea Azam asee
↧
Kumbe ‘Hawa wa Diamond’ tatizo ni moyo siyo ini
Msanii Hawa Said amegundulika kuwa ugonjwa unaomsumbua siyo ini bali ni moyo na sasa anatarajiwa kufanyiwa upasuaji kubwa ya moyo nchini India huku akiwaomba Watanzania waendelee kumuombea.
↧
↧
Cameroon's President Paul Biya wins seventh term
Africa's oldest leader is re-elected in polls marred by low turnout and separatist violence.
↧
Wachezaji Stars mjue safari Afcon bado mbichi haijaisha
Watanzania tumeshuhudia furaha tuliyoipata baada ya Taifa Stars kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cape Verde na kufufua matumaini kwamba timu yao inaweza kufuzu kwenda kucheza fainali za Afcon zitakazofanyika Cameroon mwaka 2019.
↧
Taifa Stars ina deni kwa Watanzania kufuzu Afcon
Timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ inajiandaa kumenyana na Lesotho, katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa Afrika zitakazochezwa Cameroon, mwakani.
↧
↧
Tanzania now shifts to agriculture to tame poverty
Arusha. Agriculture, the main driver of the economy, has to be highly modernized and commercialised to enable Tanzania to attain a middle income status by 2025.
↧
Government settles retirement benefits of over 2000 retirees
The government says it has settled pension benefit arrears that it owed retirees through pension funds including the defunct Public Service Pension Fund (PSPF).
↧
Huyu mpinzani wa Mwakinyo! kazi ipo J'pili
Mwakinyo alipata umaarufu kwenye ndondi baada ya kumchapa Sam Egginton aliyekuwa bondia namba nane kwa ubora, pambano lililompandisha hadi ‘top 20’ ya dunia kwenye uzani wa super welter.
↧
Malaria yapungua kwa asilimia 7 Tanzania -Tafiti
Tanzania imezindua taarifa ya utafiti wa viashiria vya malaria ya mwaka 2017/18, Jumatatu yakionyesha kiwango cha maambukizi ya ugonjwa huo kupunguwa kwa asilimia 7.3 ikilinganishwa na matokeo ya tafiti ya mwaka 2015.
↧
↧
RC Makonda Atangaza Ajira Kwa Vijana
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anawaalika wote wenye utaalam wa Teknolojia ya Habari yaani (Information Technology – IT specialists) kufika ofisini kwake Novemba 1, 2018, asubuhi kwa ajili ya kuunda Mfumo wa Kuratibu Uwajibikaji wa Watendaji wa Umma ili kuhakikisha malalamiko ya wananchi yanashughulikiwa kwa uharaka.Mfumo huo utakuwa ukipokea malalamiko ya watendaji wasiowajibika kuanzia ngazi ya mitaa, kata, wilaya, mikoa na viongozi wakuu akiwemo mkuu wa mkoa, katibu tawala mkoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi, makatibu tawala wilaya na wakuu wa idara, ambapo watakuwa wakiona ni mtendaji gani asiyewajibika kutatua kero za wananchi.Makonda amesema hataki kuona wananchi wanafika kwenye ofisi za umma na kuambiwa “Njoo kesho” kila siku pasipokujua kuwa wanatumia nauli na kupoteza muda.Mfumo huo utampa mwananchi uwezo wa kueleza malalamiko yake endapo amefika ofisi ya umma na watendaji kushindwa kushughulikia kero zake kwa uzembe.
↧
Alichokisema Godbless Lema Baada ya Kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kwa Masaa Matatu
Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Isaya Mungure amesema mbunge wa chama hicho Arusha Mjini, Godbless Lema ameitwa polisi kufafanua kauli zake kuhusu tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’.Mungure ambaye alikuwepo katika mahojiano ya awali kati ya Lema na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng'azi amesema mbunge huyo ametakiwa kueleza ni kwa nini alitoa kauli kutaka wapelelezi wa nje ya nchi kuchunguza kutekwa kwa mfanyabiashara huyo.Kwa upande wake, Lema amesema mara baada ya kufika hapo jeshi hilo lilimuhoji kuhusiana na masuala ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji.Kwa mujibu wa Godbless Lema ametoa maelezo kwa jeshi hilo ambapo amesema alishauri kuongeza nguvu juu ya namna ya kupambana na matukio ya kiuhalifu.“Nimeandika kile ambacho nakijua na ni kile nilichokizungumza kwenye press, nimesema sitoacha kulikemea jeshi hilo na kulionya pale nitakapoona panafaa kama Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani. "Kuna mashaka ambayo wanayo watu wengi kuhusu yaliyojitokeza kwenye hili suala, huwezi kuondoa mashaka hayo kwa kutisha watu bali kwa kuleta majibu, hivyo wasiyapuuze.“Nipo tayari popote na kwa yeyote ku-defend kile nilichokisema kuhusu utekaji. Wakisoma wataona hiyo wanayosema kuisaidia polisi na nimewasaidia kwelikweli, hivyo.“Wasione watu tunazungumza wakadhani kwamba tutatumiwa na mabeberu, hatutumiki Ila tunatafakari miaka 50 inayokuja jeshi la polisi litakuaje”.amesema Lema.Akizungumzia kuhusu Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kuzuia wananchi wasifanye mijadala ya tukio la utekani, Lema amesema waziri huyo hawezi kuzuia wananchi kuzungumza.“Nimemwambia RPC wakinihitaji hakuna haja ya kufanya sinema za zamani za kuruka ukuta na kukata fensi, wanipigie tu nitakwenda mwenyewe kwa nauli yangu wala sitatumia mafuta yao,” alimaliza lema.
↧
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Mwanza leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hasani Bin Mussa Kabeke wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Oktoba 22, 2018 akiwa njiani kwenda mkoani Simiyu ambako kesho anatarajia kufungua maonesho ya wajasiriamali. Sheikh huyo amechaguliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John MongellaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (katikati) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa njiani kwenda mkoani Simiyu ambako kesho anatarajia kufungua maonesho ya wajasiriamali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
↧
Serekali Inatambua Mchango wa Taasisi za Dini - Mhe. Majaliwa.
↧
↧
MBUNGE WA VWAWA, MHE.JAPHET HASUNGA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO VYA MILIONI 17 KWA SHULE ZA SEKONDARI MBOZI
Mbunge wa jimbo la Vwawa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akikabidhi seti ya jezi kwa Mwalimu wa michezo Simoni Kalinga wa Shule ya Sekondari ya Isandula iliyopo wilaya ya Mbozi mkoani Songwe.Mbunge wa jimbo la Vwawa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akipeana mkono wa shukrani kutoka Mwalimu wa michezo, Aloyce Mwambungu wa Shule ya Sekondari ya Msankwi iliyopo wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Mwanakijiji wa Kijiji cha Mafumbo, Richard Allen akikabidhiwa mpira kwa ajili ya timu ya kijiji hicho wakati Mbunge wa jimbo la Vwawa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga alipowatembelea kwa ajili ya kuzungumza nao.Mbunge wa Jimbo la Vwawa amabaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Isalalo iliyopo wilaya ya Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwakabidhi vifaa vya michezo. 1. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Msankwi iliyopo wilayani Mbozi mkoani Songwe wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Vwawa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga wakati alipowatembelea kwa ajili ya kuwakabidhi vaifaa vya michezo.Na.lusungu helela MBUNGE wa Jimbo la Vwawa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga amekabidhi seti za jezi pamoja na mipira yenye zaidi ya thamani ya sh.milioni 17 katika shule za Sekondari za kata nne zilizopo katika jimbo hilo.Mbali ya kugawa vifaa hivyo, Mhe. Japhet Hasunga ametoa zawadi kwa baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya Hesabu, Fizikia pamoja na masomo mengine katika mitihani ya taifa kwa kidato cha pili na cha nne ikiwa ni utekelezaji wa ahadi alizokuwa ameahidi kwa wanafunzi hao Akikabidhi vifaa kwa nyakati tofauti wilayani Mbozi mkoani Songwe katika shule hizo, Mhe. Hasunga amesema ameamua kutoa vifaa hivyokwa lengo la kusaidia Serikali katika juhudi za kuinua michezo lakini pia ni sehemu ya kazi zake kama MbungeAmeongeza kuwa michezo licha ya kujenga utimamu wa mwili lakini pia ni ajira huku akitoa mfano kuwa kati ya watu wanaolipwa mishahara mikubwa duniani wachezaji ndio wanaoongoza.Pia amesema kuwa anatambua kuwa kuna changamoto za kutosha katika michezo hususani vifaa vya michezo Kwa kutambua hilo ameamua kutoa vifaa hivyo huku akiwataka wanafunzi na walimu hao kusimamia vyemaKatika hatua nyingine, Mhe. Hasunga amewataka walimu pamoja na wanafunzi kujenga utamaduni wa kutembelea vivutio vya utalii kwa ajili ya kupumzika na pia ni fursa ya kuweza kujifunza vitu vipya tofauti na vile walivyovizoea.
↧
RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI MBUNGE WA MAKETE PROFESA NORMAN SIGALA AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumjulia hali leo tarehe 22/9/2018.
↧
KAMISHNA MKUU WA TRA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WAKE KUHUSU UBORESHAJI WA HUDUMA MBALIMBALI ZA WALIPAKODI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere akizungumza leo na watumishi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi waliopo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam juu ya uboreshaji wa huduma mbalimbali za walipakodi. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere akizungumza leo na watumishi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi waliopo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam juu ya uboreshaji wa huduma mbalimbali za walipakodi. Meneja wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Gabriel Mwangosi (katikati) akitoa maoni wakati wa kikao na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere kilichofanyika leo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Bi. Agnes Kitwanga akifafanua jambo wakati wa kikao na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere kilichofanyika leo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam.Baadhi ya watumishi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wakimsikiliza kwa makini Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (hayupo pichani) wakati wa kikao na kamishna huyo kilichofanyika leo TRA Makao Makuu jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).
↧
Turkey says Khashoggi murder 'planned in savage manner'
The murder of Saudi journalist Jamal Khashoggi inside Riyadh's Istanbul consulate was "savagely planned", Turkey's ruling party spokesman said on Monday, the first official indication from Ankara it believes a plot was hatched in advance.
↧
↧
Tanzania MP Godbless Lema reveals what he told the police in billionaire Mo Dewji’s abduction saga
The outspoken Arusha Urban (Chadema) legislator Godbless Lema was in his true element yesterday when he was summoned to the Arusha central police station to explain his recent remarks on mysterious abductions of individuals.
↧
Dennis Mhini joins St Felix School for studies and swimming
After shining in the just-ended Youths Olympic Games in Buenos Aires, Argentina, up and coming Tanzanian swimmer Dennis Mhini has secured a chance to study and swim for the English famous club and school, St Felix in United Kigndoms.
↧
Tanzania government releases status of malaria prevalence in councils
The government has released a list of ten district and township councils with high malaria prevalence and 14 others with prevalence below 0.1 per cent.
↧