SERIKALI ya Tanzania imepewa msaada wa zaidi ya Sh. 330 bilioni na Serikali ya Ujerumani. Ni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji safi na salama na kilimo cha umwagiliaji. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Msaada huo ni kupitia Benki yake ya Maendeleo (KfW) pamoja na Mfuko wa Kimataifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi (Green ...
↧