BARAZA la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limetoa pole kwa familia ya Dk. Reginald Abraham Mengi kutokana na kifo cha Mzee Mengi, kilichotokea Dubai, Falme za Kiarabu tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Baraza hilo limeeleza kuwa, Dk. Mengi ambaye aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, atakumbukwa kutokana na hulka yake ya kutobagua watu kwa misingi ya ...
↧