$ 0 0 KWELI jasili haachi asili, kwani baada ya Deogratius Munish 'Dida' kushindwa kusaini timu yoyote Ligi Kuu ameamua kujikita kwenye biashara.