Crouch amtabiria Sanchez ya Torres
NYOTA wa zamani wa Liverpool na Tottenham Hotspur, Peter Crouch amedai huenda Alexis Sanchez ambaye amejiunga na Inter Milan kwa mkopo wa msimu mmoja akitokea Manchester United akawa kama Fernando...
View ArticleDida: Ajikita kwenye biashara zake zimlipe
KWELI jasili haachi asili, kwani baada ya Deogratius Munish 'Dida' kushindwa kusaini timu yoyote Ligi Kuu ameamua kujikita kwenye biashara.
View ArticleNgassa: Tutafika makundi Ligi ya Mabingwa
WINGA wa Yanga, Mrisho Ngassa amesema malengo yao ni kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hivyo lazima wapambane kuhakikisha wanaifunga Zesco ya Zambia.
View ArticleZahera akomaa na washambuliaji Yanga
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ametumia zaidi ya dakika 50 kuipa timu yake mazoezi tofauti ya mbinu za kufunga.
View ArticleRonaldo: Huyu Messi nitapiga naye msosi tu
MONACO, Ufaransa MSHAMBULIAJI wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amemmwagia sifa lukuki hasimu wake, Lionel Messi, katika hafla ya upangaji wa makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya na ugawaji wa tuzo za Ulaya....
View ArticleWanaomnyatia Lewandowski mtasubiri sana
MUNICH, Ujerumani MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Robert Lewandowski, amesaini mkataba wa miaka minne utakaomwezesha kudumu klabuni hapo hadi mwaka 2023. Akizungumza baada ya kusaini, mshambuliaji huyo...
View ArticleSuarez, De Gea, Carzola, Nadal wamlilia binti wa Enrique
MADRID, Hispania KOCHA wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Luis Enrique, amefiwa na mtoto wake wa kike, Xana Enrique, mwenye umri wa miaka tisa. Taarifa ndani ya familia hiyo...
View ArticleMan United, Arsenal zapewa vibonde Europa, Hazard abeba tuzo Ulaya
MONACO, Ufaransa KAMA wanashuka mlimani vile, wanateleza tu! Hii ni baada ya mabingwa wa Europa mwaka 2017, Manchester United, kupangiwa vibonde katika Kundi L, huku wenzao vijana wa Unai Emery,...
View ArticleSanchez atambulishwa Inter Milan
MILAN, Italia STRAIKA mpya wa Inter Milan, Alexis Sanchez, ametambulishwa rasmi kama mchezaji wa Inter Milan, baada ya kujiunga kwa mkopo akitokea Manchester United. Sanchez alishindwa kuwika katika...
View ArticleWellu Sengo abadili dini
NA SISCA MACHABA (TUDARCo) MWIGIZAJI nyota wa tamthiliya ya Rebecca, Wellu Sengo, amewatangazia mashabiki kuwa amebadili dini kutoka Ukristo na kuingia Uislamu, uamuzi utakaokwenda sambamba na kubadili...
View ArticleHong Kong protesters in fresh standoff with police
Demonstrators went ahead with a banned march to mark the fifth anniversary of Beijing's move to curtail elections. A hardcore of protesters threw petrol bombs at police, who responded with tear gas and...
View ArticleMashindano ya EAGT yazidi kunoga
NA ANNA MAGUHA MASHINDANO ya East Africa Got Talents (EAGT) yameendelea kushika kasi huku washiriki kutoka nchi nne za Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda wakiendelea kuonyesha vipaji vyao. Katika...
View Article2 Million in India's Assam State Face Prospect of Becoming Stateless
About two million people living in India’s northeastern state of Assam face the unnerving prospect of becoming stateless as authorities wind down a mammoth process to identify illegal immigrants....
View ArticlePSG yashinda mechi bila ya Neymar, Mbappe, Cavani
Ikiwa haina wachezaji wake nyota, Paris Saint-Germain jana iliwapa nafasi wachezaji wawili walio na umri chini ya miaka 20, lakini ikaibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Metz katika mechi nyingine...
View ArticleWatakaobainika kuihujumu Serikali kuzuiwa kwa ndege ya ATCL kushtakiwa
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas amesema watakaobainika kuihujumu Serikali kuhusu kuzuiwa kwa ndege ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) nchini Afrika Kusini watafunguliwa kesi.
View ArticleMaelfu wajazana Uwanja wa Taifa Dar, baadhi wadai kusikia habari za kutolewa...
Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamejazana katika Uwanja wa Taifa linakofanyika kongamano la ndoa ya familia, huku baadhi wakieleza kuwa wamefika hapo baada ya kusikia habari kuwa itatolewa...
View ArticleDC Nyamongo: Jiungeni CHF ili mnufaike
VUMILIA Nyamoga, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, amewataka watendaji wa wilaya hiyo kutoa elimu ili wananchi waweze kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF). Anaripoti Dandosn Kaijage,...
View ArticleTanzania raises alarm as child dies of ebola in uganda
The government yesterday warned of an Ebola threat in the country resulting from cross-border transmission. This comes about following the case of a nine-year-old girl who tested positive for the viral...
View ArticlePlug data gap to meet goals on development, government told
Tanzania needs to overcome huge data gaps to meet an ambitious set of global goals to conquer poverty, inequality and other international woes by a 2030 deadline, policy analysts have said.
View ArticleTaliban Launch 'Massive Attack' on Afghan City of Kunduz
The Taliban have launched a new large-scale attack on one of Afghanistan's main cities, Kunduz, and taken hospital patients as hostages, the government said Saturday, even as the insurgent group...
View Article