Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Wellu Sengo abadili dini

$
0
0
NA SISCA MACHABA (TUDARCo) MWIGIZAJI nyota wa tamthiliya ya Rebecca, Wellu Sengo, amewatangazia mashabiki kuwa amebadili dini kutoka Ukristo na kuingia Uislamu, uamuzi utakaokwenda sambamba na kubadili jina lake. Mrembo huyo mwenye umbo matata ambaye pia ni mzazi mwenza wa Steve Nyerere, alitumia ukurasa wake wa Instagram kutoa taarifa hiyo, akisema: “Assalamu Allaykum, leo tarehe 29 Agosti 2019, mimi Wellu J Sengo nimeslimu na kuwa Amina J Sengo, naombeni ndugu zangu katika imani mnishike mkono.”

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>