Mkimbiaji wa kazi kuliko wote duniani, Usain Bolt, aliweka historia Jumapili aliposhinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 100 na kumfanya mtu wa kwanza kushinda dhahabu mara tatu mfululizo katika mbio hizo kwenye michezo ya Olimpiki.
Bolt, Raia wa Jamaica, alipata ushindi huo wa kipekee alipokimbia akitumia muda wa sekunde 9.58, na kukaribia mno kuivunja rekodi ya dunia.
Alifuatiwa na Mmarekani Justin Gatlin aliyechukua medali ya fedha huku nambari ya tatu ikitwaliwa...
↧