Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

Alliance yaangusha kipigo kwa Warundi

TIMU ya soka ya Alliance Fc ya mkoani hapa juzi imetoa kipigo kikali cha mabao 5-1 kwa timu ya Aigle Noir kutoka Burundi katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye viwanja vya shule ya Alliance.

View Article


Senegal opposition storms over dual nationality rule

Senegalese opposition politicians are at loggerheads with government over a law banning presidential candidates with dual nationalities.

View Article


Short and Simple

Event Category: Art Galleries & ExhibitsEvent Date: Wednesday, August 17, 2016 - 17:00 to Thursday, August 18, 2016 - 20:00Venue: Nafasi Art Space, Mikocheni, Dar es Salaam ITTIBITTI * (arts...

View Article

A day at the races with Triniti

Event Category: Other & MiscellaneousEvent Date: Saturday, September 10, 2016 - 12:00Venue: The Green, Oysterbay, Kenyatta DriveCome join us at the goat races on Saturday the 10th of September...

View Article

Kijana auawa kwa kipigo na madereva bodaboda, mama yake kayaongea haya

August 15 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib amekutana na iliyotokea Dar es salaam ambapo  Kijana ameuawa na watu wa Bodaboda baada ya kudhaniwa kuwa ni mhalifu, kama hukupata time ya...

View Article


Al Ahly out of Champions League after Wydad victory

Al Ahly are out of the African Champions League after they draw with Zesco United and Wydad Casablanca of beat ASEC Mimosas.

View Article

Bundesbank sees room for tax reduction

Germany's central bank has come out in favor of reducing the overall tax burden for Germans in light of a continuously robust labor market and annual balanced budgets. But it also urged a less popular...

View Article

Aboud Jumbe aaga dunia kigamboni jijini Dar es salaam.

Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia Jumapili saa saba mchana nyumbani kwake katika kijiji cha Mji Mwema, eneo la kigamboni jijini Dar es salaam.

View Article


VPL 2016-2017 Vigogo hawa watatoana macho mwanzo mwisho

MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa Tanzania Bara (VPL) unatarajiwa kuanza wikiendi hii. 

View Article


Chirwa mtamu, sema basi tu!

USHINDI wa bao 1-0 iliyoupata Yanga umewapa faraja kubwa Wanayanga na kufuta hofu waliokuwa nayo juu ya timu yao kuweza kumaliza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa na pointi moja tu.

View Article

Mbeya watakiwa kujipanga fursa ya Dodoma

Wafanyabiashara na wakulima mkoani hapa wametakiwa kuandaa bidhaa nyingi za kwenda kuuza katika Mji wa Dodoma baada ya Serikali kutekeleza mpango wake wa kuhamia huko.

View Article

Dk. Lwaitama amshangaa Rais Magufuli

Dk. Azaveli Lwaitama, mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, ameeleza kushangazwa na kauli ya Rais John Magufuli kutaka kuifanya Ikulu ya Jijini Dar es Salaam kuwa jumba la makumbusho, anaandika Pendo...

View Article

Mtanzania ang’ara Kili FM Marathon 2016

GABRIEL Gerald jana aliwatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuwapiku Wakenya na washiriki wengine na kumaliza wa kwanza katika mashindano ya mbio za kimataifa za Kili FM Marathon zilizofanyika mjini...

View Article


Deadly car bomb rocks Turkey's southeast

Three people have died and several others have been injured following a car bomb explosion, close to the city of Diyarbakir. Security forces said they suspected Kurdish militants were behind the attack.

View Article

Singida residents walk 40km for medical care

Residents of villages in Ikungi in Singida Region resort to walking up to 40 km to and from Makiungu Mission Hospital for health services.

View Article


VIDEO: Original Komedi walivyoingia ukumbini kwenye Harusi ya Masanja….

Ni August 14, 2016 ambapo mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Msanja Mkandamizaji aliziandika headlines baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Monica katika kanisa la...

View Article

Would a Trump America walk away from NATO?

The US has long warned its European partners it was losing patience with paying the majority of NATO's bills. The nomination of Donald Trump has made the threats of a US withdrawal from NATO seem real...

View Article


Walimu wanne na wanafunzi wanane washikiliwa uchomaji shule moto

Jeshi la polisi wilayani Monduli Mkoa wa Arusha, linawashikilia kuwahoji walimu wanne na wanafunzi wanane kutokana na tuhuma za uchomaji moto Shule ya Sekondari Ole Sokoine.

View Article

Bolt ashinda 100m katika Olimpiki mara ya tatu

Mkimbiaji wa kazi kuliko wote duniani, Usain Bolt, aliweka historia Jumapili aliposhinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 100 na kumfanya mtu wa kwanza kushinda dhahabu mara tatu mfululizo katika...

View Article

PICHA 10: Muonekano wa maktaba ya kisasa kupita zote Afrika itakavyokuwa

June 2 2016 Rais John Pombe Magufuli aliweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambacho Mkuu wa Chuo hicho ni  Rais mstaafu Jakaya kikwete. Ujenzi wa maktaba hiyo ya...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>