Kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini, leo August 25 2016 Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano yote ya kivyama ndani na nje ili kuzuia machafuko ya amani yanayoendelea kujitokeza katika kipindi hiki. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam Kamishna wa Polisi CP Nsato Marijani amesema…>>>’Jeshi la polisi halikuzuia mikutano ya […]
The post VIDEO: Taarifa ya Polisi kuhusu zuio la mikutano ya ndani ya kisiasa appeared first on millardayo.com.
↧