Tuzo za MTV Video Music Awards 2016 ziko njiani….
Tuzo za muziki za MTV Africa 2016 maarufu kama MTV MAMA zinatarajiwa kufanyika tarehe 22 October Johannesburg Afrika Kusini. Uzinduzi wa tuzo hizo ulifanyika August 23, 2016 mbele ya waandishi wa...
View ArticleJeshi la Polisi limepiga ‘STOP’ mikutano ya ndani inayohusu siasa nchini
Kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini, leo August 25 2016 Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano yote ya kivyama ndani na nje ili kuzuia machafuko ya amani...
View ArticleIJUE SHERIA ILIYOIPELEKA MO BEJAIA NUSU FAINALI CONFEDERATION CUP
Na Patrick Sungura. Kumekuwa na mijadala mingi baada ya Mouloudia Olympique de Béjaïa (MO BEJAIA) kufuzu hatua ya nusu fainali ya CAF CONFEDERATION CUP 2016 licha ya kuwa sawa points na timu ya...
View ArticleWhat’s Up Africa: Is Malawi 'too good' to win medals?
Satirist Ikenna Azuike is in Malawi to find out why the African country won no Olympic medals.
View ArticleThe battle for Kunduz and Helmand
Why are the Afghan Taliban aiming to capture two key cities in the southern Helmand and the northern Kunduz provinces? What is the significance of these areas to the militant Islamist group? DW examines.
View ArticleJIJI LA LOS ANGELES LAAMUA TAREHE 23 AGOSTI KUWA KOBE BRYANT DAY.
Kitendo cha kuamua kustaafu kucheza mchezo wa mpira wa kikapu kwa Kobe Bryant imekuwa kama hatua nzuri kwake kwani neema kadhaa zimeanza kufunguka kwake ambazo ni za kipekee. Staa huyu wa zamani wa...
View ArticleKenyatta atia saini sheria ya kudhibiti riba ya benki Kenya
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, siku ya Jumatano alitia saini na kuufanya sheria mswada uliowasilishwa kwake na bunge kuhusu viwango vya riba vinavyotozwa na benki nchini humo. Sasa viwango vya riba...
View ArticleMarekani yawawekea vikwazo wanawe Joseph Kony
Marekani imesema kuwa imeweka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya watoto wawili wa kiume wa Kony kwa kuhusika katika biashara haramu ya pembe za ndovu
View ArticleMAONI YA MHARIRI: Watanzania wailinde amani yao
Tanzania imekuwa ikionekana kuwa miongoni mwa nchi zenye amani pengine kuliko nchi yoyote ya Afrika na dunia kwa ujumla, tofauti na nchi nyingine nyingi ambazo zinakabiliwa na machafuko ya kisiasa na...
View ArticleLissu amtaka Wambura, serikali yagoma
CAMILIUS Wambura, Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZCO), ametakiwa kufika mahakamani kama shahidi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Tundu Lissu, Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani...
View ArticleTetemeko la ardhi laua 73 Italia
Watu 73 wamekufa na wengine 150 hawajulikani walipo baada ya tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Richter 6.2 kulikumba eneo la katikati ya Italia leo alfajiri.
View ArticleMajambazi waua askari wanne
Watu zaidi ya saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wamewaua kwa kuwapiga risasi askari polisi wanne na kujeruhiwa raia wawili baada ya watuhumiwa hao kuvamia eneo la Benki ya CRDB tawi la Mbande ililopo...
View ArticleUCHAMBUZI: Ni vigumu kutenganisha uhuru wa habari na demokrasia
Machi mwaka 2011, Baraza la Habari Tanzania(MCT) lilipitisha azimio la Dar es Salaam juu ya uhuru wa uhariri na uwajibikaji.
View ArticleAirlander 10: Ndege ndefu zaidi duniani yapata ajali
Ndege ndefu zaidi duniani - Airlander 10 - imeharibika baada ya kuanguka ikitua kwenye safari yake ya pili ya kufanyiwa majaribio.
View ArticleKiwanda cha mafuta matatani, wafanyakazi walia
UONGOZI wa kiwanda cha mafuta cha Tanzania Murzah Oil Mill unalalamikiwa kugoma kulipa mafao ya waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho baada ya kubinafsishwa kwake, jambo linalozidi kuchochea mgogoro...
View ArticleAndreas Kappeler: 'Ukraine's independence is a miracle'
On August 24, 1991, Ukraine declared independence from the Soviet Union following the failed coup in Moscow. DW spoke with renowned historian Andreas Kappeler, who has followed Ukraine's nation...
View ArticleWatu 73 wafariki kutokana na tetemeko la ardhi Italia
Watu takriban 73 wamefariki baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.2 katika vipimo vya Richter maeneo yenye milima katikati mwa Italia.
View ArticleVIDEO: Taarifa ya Polisi kuhusu zuio la mikutano ya ndani ya kisiasa
Kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini, leo August 25 2016 Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano yote ya kivyama ndani na nje ili kuzuia machafuko ya amani...
View ArticleMAONI: NCCR-Mageuzi inavyojikokota nyuma ya kivuli cha Ukawa
NCCR-Mageuzi ni chama chenye historia ya aina yake katika ulingo wa siasa nchini, pengine kuliko vyama vyote vya upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa uchaguzi unaovihusisha vyama vingi vya siasa.
View ArticleKenya kuanza kuzalisha mafuta 2017
Kenya imetangaza kwamba itaanza kuzalisha na kuuza mafuta yake nje ya nchi kwa mara ya kwanza kuanzia mwezi Juni mwaka ujao.
View Article