$ 0 0 Kanisa Katoliki Tanzania kesho litatumia maadhimisho ya kongamano la Ekaristi Takatifu kuliombea Taifa amani.