Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

Berlusconi hospitalini kwa tatizo la moyo

Aliyekuwa waziri mkuu nchni Italy Silvio Berlusconi amepelekwa hospitalini akiwa na tatizo la moyo ,kulingana na msemaji wa chama chake.

View Article


Mradi wa Ujenzi wa Ngambo Tuitakayo Maeneo ya Muemberikunda, Muembeladu,...

  Muonekano wa majengo yatakayokuwa katika Mradi wa Ngambo Tuitakayo yatakayojengwa katika maeneo hayo. Mandhari inayoonekana pichani ni sehemu ya michezani ikigawa maeneo ya Mradi wa Ngambo Tuitakayo...

View Article


Mwingereza kortini Kenya kwa tuhuma za kumuua mkewe na kusingizia kajiua...

Mfanyabiashara mwenye asili ya Uingereza Richard Alden amefikishwa Mahakamani  akituhumiwa kuhusika na mauaji ya Grace Wangechi Kinyanjui  ambaye alikuwa ni mke wake wa pili katika nyumba yake ya...

View Article

Mradi wa Kuhuisha Eneo Ngambo Kuwa Kituo cha Mji wa Zanzibar, Ngambo...

  Muonekano wa majengo yatakayokuwa katika Mradi wa Ngambo Tuitakayo yatakayojengwa katika maeneo hayo. Mandhari inayoonekana pichani ni sehemu ya michezani ikigawa maeneo ya Mradi wa Ngambo Tuitakayo...

View Article

Prosecutors in Spain ask for Brazilian striker Neymar to be tried for...

Brazilian striker Neymar has been accused of concealing the true cost of his 2013 transfer deal from Brazil's Santo to FC Barcelona. If the case comes to trial he will follow Lionel Messi into court.

View Article


King'ora cha gari la Mitsubishi Outlander chadukuliwa

Kengele ya gari aina ya Mitsubishi Outlander inaweza kuzimwa kupitia wi-fi yake iliopo ndani,watafiti wamebaini.

View Article

SAMATTA KUILETA DUNIA TANZANIA

Mkurugenzi wa Sanaa wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Sanaa, Bi. Leah Kihimbi akimkabidi baba ya mchezaji Mbwana Samatta, Mzee Ali Samatta cheti cha kumiliki ekari tano za eneo katika kijiji cha...

View Article

Bangladeshi Hindus seeking safety in India

The number of Hindus living in Bangladesh continues to shrink as many of them leave to seek refuge in neighboring India. Experts blame it on religious persecution and systematic oppression against the...

View Article


LRA wateka karibu watu 100 DRC

Karibu wapiganaji 50 wanaoamika kutoka kundi la LRA la nchini Uganda, waliendesha uvamizi mkoa wa Kisangani nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.

View Article


VIDEO: Milioni 40 zinapotea kwa siku moja kutokana na watumishi hewa wa bungeni

Wakati bunge likisubiri kuanza kusomwa kwa bajeti kuu June 8 2016 nakukutanisha na mahojiano yanayoendelea kwa sasa, Mbunge wa jimbo la Nkasi kaskazini Ally Keissy ametusaidia kuipata takwimu ya...

View Article

Ili usikike vizuri kabisa

Huna haja ya kupiga kelele na kuzungumza kwa sauti kubwa kwa sababu huhutubii umati wa watu. Wala usisikike ukitoa sauti kama ya mtu mwenye kuwatangazia watu wazima malai tamu.

View Article

China's Xinjiang Muslims 'require DNA samples' for travel documents

Residents of China's Muslim-majority Xinjiang region must provide DNA samples when applying for travel documents, according to new rules. Local authorities have also put restrictions on fasting during...

View Article

Wakatoliki kuliombea Taifa amani

Kanisa Katoliki   Tanzania kesho litatumia maadhimisho ya kongamano la Ekaristi Takatifu kuliombea Taifa amani.

View Article


Programu ya Apple Siri yaita ambyulensi kumsaidia mtoto

Mwanamke mmoja kutoka Cairns Australia,alitumia programu ya Apple Siri kupigia simu ambyulensi kwa mtoto wake wa mwaka mmoja aliyekuwa na tatizo la kupumua.

View Article

Lukuvi azuia uuzwaji shamba la Usambara

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepiga marufuku uuzwaji wa shamba lenye ekali 455 la Chama cha Ushirika cha Usambara lililoko eneo la Bumbuli wilayani hapa Mkoa wa Tanga.

View Article


Tasaf yaokoa Sh10 milioni Newala

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, umeziondoa kaya 448 za vijiji 97 katika mpango wa kunusuru kaya maskini baada ya kukosa sifa.

View Article

Maamuzi ya mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyemtukana Rais Magufuli facebook

Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye alishitakiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imesikilizwa leo June 08 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya Arusha ambapo maamuzi...

View Article


Siku 20 baada ya ndege ya Misri kupoteza mawasiliano, leo June 8 2016...

Leo June 8 2016 CCTV Africa wameripoti habari nyingine tena inayohusu ndege ya Misri iliyokuwa inatoka Cairo kuelekea Beijing China, ikiwa zimepita siku 20 toka ndege ya EgyptAir Flight 804 kuripotiwa...

View Article

Bomb threat forces EgyptAir jet to land

An EgyptAir jet forced to land in Uzbekistan due to a hoax bomb threat is cleared to resume its journey from Cairo to Beijing, Egyptian officials say.

View Article

Frosty with Obama, Netanyahu warms to Putin

Israeli PM Netanyahu is tired of being badgered by the US and EU about the humanitarian plight of the Palestinians. So he is turning to countries like Russia, India and China, whose priorities may...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>