Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Maamuzi ya mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyemtukana Rais Magufuli facebook

$
0
0
Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye alishitakiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imesikilizwa leo June 08 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya Arusha ambapo maamuzi yametolewa ambapo mshitakiwa ametakiwa kulipa millioni 7 au kutumikia kifungo cha miaka 3 gerezani. Mshtakiwa amekiri kutenda kosa hilo ambapo mahakama imeamuru alipe fedha hizo kwa awamu mbili, katika […] The post Maamuzi ya mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyemtukana Rais Magufuli facebook appeared first on MillardAyo.Com.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>