Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Alliance yaanza vyema Feassa

$
0
0
TIMU ya soka ya Alliance FC imeanza vyema katika mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari za Afrika Mashariki na Kati (Feassa) kwa kutoa kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya bingwa mtetezi wa mashindano hayo Masaka kutoka Uganda.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles